UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA MOROGORO VIJIJINI

UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA MOROGORO VIJIJINI NEW
Kauli ya Jaffo
" kukamilika Kwa hospitali na zahanati ni moja ya kipimo chako, hospitali ya Wilaya isipokamilika nitamshauri Mheshimiwa Rais juu ya watendaji wa Morogoro Vijijini"

Mh. Suleiman Jaffo, Waziri TAMISEMI alipotembelea Halmashauri ya Morogoro Vijijini kukagua ujenzi wa hospitali

Kauli ya mkuu wa mkoa
"Naunda tume ije hapa ichunguze kwann ujenzi unachelewa na kuchunguza swala la mchwa katika Halmashauri ya Morogoro Vijijini, Mhandisi wa Mkoa kesho uje Kata ya mvuha kusimamia ujenzi wa hospitali ya Wilaya mpaka ikamilike ndio uondoke hapa Mvuha"

Dr Steven Kebwe
RC Morogoro

Kauli ya mkurugenzi
"nakuhakikisha  Waziri na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa material yote Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya yapo na nakuahidi kabla ya tarehe 30/7/2019 Jengo la hospital ya Wilaya ya  manispaa ya Morogoro Vijijini litakuwa limekamilika"

 Mh.Kayombe Lyoba, Mkurugenzi Morogoro Vijijini