MWISHO WA UBAYA AIBU

Tina alikuwa amelala kifudifudi kitandani pake akilia kwa majuto na upweke alioachiwa na mumewake kipenzi bwana Alfan. Zaidi ni yule mtoto aliyeachwa na baba yake yungali mdogo kilaalipomwangalia mtoto wake huzuni na majozi yalimtanda kwenye akili yake lile tumaini lote alilokuwa nalo lilitoweka ghafla Tina aliurejea upweke wake ambao aliachiwa na wazazi wake pale tu mume wake alipoaga dunia kwani mume