UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA MOROGORO VIJIJINI
Kauli ya Jaffo
" kukamilika Kwa hospitali na zahanati ni moja ya kipimo chako, hospitali ya Wilaya isipokamilika nitamshauri Mheshimiwa Rais juu ya watendaji wa Morogoro Vijijini"
Kauli ya Jaffo
Mh. Suleiman Jaffo, Waziri TAMISEMI alipotembelea Halmashauri ya Morogoro Vijijini kukagua ujenzi wa hospitali